Galana (mto)

(Elekezwa kutoka Mto Galana)

Galana ni jina la mto Athi nchini Kenya kati ya maporomoko ya Lugards Falls unapoungana na mto Tsavo hadi kuishia katika Bahari Hindi karibu na mji wa Malindi.

Mto Galena

Sehemu ya mwisho ya Galana inaitwa pia mto Sabaki.