Mto Ngarenaro ni tawimto la mto Themi na kwa njia yake huchangia mto Kikuletwa ambao ni kati ya vyanzo viwili vikuu vya mto Pangani ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa nchi Tanzania).

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri