Mto Nithi unapatikana katika kaunti ya Tharaka-Nithi, katikati ya Kenya.

Ni tawimto la mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri