Mto Nyahua ni kati ya mito ya mkoa wa Tabora (Tanzania Magharibi). Ni tawimto la mto Wembere unaotiririkia ziwa Kitangiri.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri