Mto Ripera uko katika Mkoa wa Njombe (Nyanda za Juu za Kusini, Tanzania).

Maji ya mto huo yanaishia kwenye Bahari Hindi kupitia mto Rufiji.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri