Mto Rithanga unapatikana katika kaunti ya Embu, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri