Mto Ruiru (Kiambu)

Mto Ruiru (Kiambu) ni jina la miwili kati ya mito inayopatikana katika kaunti ya Kiambu, katikati ya Kenya.

Maji yake yanaishia katika mto Athi-Galana-Sabaki na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri