Mto Saato
Mto Saato unapatikana Eritrea na ni tawimto la mto Haddas ambao huishia katika Bahari ya Shamu baada ya kuungana na mto Comaile na mto Aligide.