Mto Sabaki ni jina la sehemu ya mwisho ya mto Athi nchini Kenya hadi unapoingia katika Bahari ya Hindi.