Mto Sezibwa

Mto Sezibwa unapatikana katika mkoa wa kati, nchini Uganda.

Mto Sezibwa unapatikana katika mkoa wa Kati, nchini Uganda (wilaya ya Buikwe, wilaya ya Mukono na wilaya ya Kayunga).

Mito na maziwa ya Uganda.
Mto Sezibwa

Unamwaga maji yake katika ziwa Kyoga baada ya kutiririka kwa kilomita 150 hivi.

Kwa njia hiyo unachangia mto Nile na hatimaye Bahari ya Kati.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri