Mto Thiba unapatikana nchini Kenya. Ni tawimto la mto Tana ambao ndio mrefu kuliko yote nchini na unaishia katika Bahari ya Hindi.

Maporomoko ya maji ya Mto Theba

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri