Mto Ura (Tharaka-Nithi)

Mto Ura (Tharaka-Nithi) unapatikana katika kaunti ya Tharaka-Nithi, katikati ya Kenya.

Maji yake yanatokana na mlima Kenya na kuishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri