Mto Vet
Mto Vet ni tawimto la mto Vaal, Afrika Kusini.
Chanzo cha mto Vet ni kati ya Marquard na Clocolan. Hutiririsha maji yake kaskazini magharibi, kisha kukutana na mto Vaal katika bwawa la Bloemhof karibu na Hoopstad. Bwawa la Erfenis lilijengwa katika mto huo kufanikisha upatikanaji wa maji katika mji wa Theunissen.[1]
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Op pad in Suid-Afrika. 1995. Bl 263
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Vet kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |