Mto Wadi Laba ni korongo linalopatikana Eritrea na kuishia katika Bahari ya Shamu baada ya kuungana na mto Wokiro.