Mto Zigina
Mto Zigina unapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.
Ni tawimto la mto Omo, ambao unatokana na muungano wa mto Gibe na mto Wabe na unaishia katika ziwa Turkana.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Zigina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |