Mtoa huduma za Tovuti (MHT)

Katika utarakilishi, mtoa huduma za Tovuti (kifupi: MHT; kwa Kiingereza: Internet service provider) ni kampuni inayowawezesha watu kutumia Mtandao.

Mchoro wa utoaji wa mtandao.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)