jina_Abdallah Ramadhan Nassoro.alizaliwa miaka 23 iliyopita yeye pia ni mmoja wa waanzilishi wa kikundi cha kisima cha jangwani.Abdallah ni kijana anaependa kujifunza mambo mapya kila siku, alisoma hadi kidato cha 4 kwa elimu ya kitanzania inatosha kwa kijana mwerevu kujivunia kusoma sana sio ndio utayafikia malengo.kwa sasa Abdallah pia ndie mmiliki wa ABRANA_MEDIA_TZ hii ni kampuni ambayo toka ianze ni mwaka wa pili inajiusisha na habari za mitandaoni ABRANA_MEDIA_TANZANIA ni logo inayojiendesha bila kukiuka sheria ya nchn,,kwa umri aliokuwa nayo ABDALLAH na malengo aliyojiwekea basi atafika mbali