Mtumiaji:Bennforty/ Maamuzi ya juu
Azimio la juu/Maamuzi ya juu (au Mpango wa Maamuzi ya Juu) ni shirika lisilo la kiserikali la Kimataifa linalo jiusisha na vijana. Lengo kuu la shirika hili ni kuelimisha wanafunzi (vijana) wenye umri wa shule ya juu kwa maana ya kuwa raia wema na wakimataifa. Mipango ya maamuzi ya juu na uanzishwaji wa elimu hii iliibuka kutokana na simulizi iliotayarishwa na mwanzilishi msaidizi aitwae Mehrdad Baghai [1]na Mshindi wa Tuzo za Nobel Thomas Schelling[2] katika Chuo Kikuu cha Harvard.
Marejeo
hariri- ↑ "Mehrdad Baghai". World Economic Forum (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
- ↑ "Thomas Schelling", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-11-24, iliwekwa mnamo 2022-11-26