Karibu katika ukurasa wangu

Mimi ni mkenya kwa kuzaliwa. Naamini kwamba ni haki ya kila mtu kuwa na uhuru wa kupata, kuendeleza, kuandika na pia kurekebisha habari mahali popote; iwe kwenye mtandao ama vitabu, n.k.

Nakusihi wewe pia ujiunge na Wikipedia tuendeleze uhuru wa habari.