Tungo, ni uwekaji wa pamoja au upangaji wa pamoja wa vipashio sahili ili kujenga vipashio vikubwa zaidi.

Tungo ipo katika makundi au aina nne

(i) Tungo neno

(ii) Tungo Kirai

(iv)Tungo Kishazi

(v) Tungo Sentensi

Tungo neno ni silabi au mkusanyiko wa silabi zinazotamkwa au kuandikwa na kuleta maana. Hii ina maana kuwa ili kupata tungo neno katika lugha ya Kiswahili,