Sandra Botha

Celia-Sandra Botha (amezaliwa 25 February 1945) ni mwanasiasa wa Afrika Kusini,aliyewahi kuhudumu kama Balozi wa Afrika Kusini katika Jamhuri ya Czech.Alikuwa kiongozi wa Chama cha Upinzani cha Democratic Alliance kabla ya Helen Zille.

Alitangaza nia ya kujiuzulu kama kiongozi wa Chama cha Democratic Alliance na kuwa balozi mwaka 2009 baada ya uchaguzi mkuu wa Afrika Kusini.

Marejeo hariri

https://en.m.wikipedia.org/wiki/Sandra_Botha#cite_ref-1 [[Jamii:Wanawake wa Afrika Kusini]] [[Jamii:Wanasiasa wanawake Afrika Kusini]] [[Jamii:Mbegu za siasa]]