Habari!

Ninaitwa Richard. Ninatokea New Zealand. Sizumgumzi Kiswahili.


Habari gani Richard!

ninaitwa Joel ninatokea Tanzania. ninazungumza kiswahili na kiingereza.

Muddyb Blast Producer hariri

Habari yako Richard naitwa Muddyb natokea Tanzania ninazungumza Kiswahili na Kingereza Karibu sana Tanzania