[1] HABARI ILIYOANDIKWA HAPO JUU ILIPATIKANA KWA MWANDISHI KUHUDHURIA VIKAO VYA WAZEE KIKIITWA KITALA, KILICHOKUWA KINAHUSIKA KUGAWANYA MAJI KWA KILA MTU NA SIKU YAKE WAPARE WANAITA IKAMBA, MAJI HAYO YALIKUWA YAKIKUSANYWA KWENYE BIRIKA AU BWAWA, WAPARE WALILIITA NDIVA.UTARATIBU HUU UNAENDELEA HADI LEO NA NDIVA HIZI ZIMEFANYIWA MABORESHO MAKUBWA KWA KUSHIRIKIANA NA HALIMASHAURI YA WILAYA YA SAME NA WANANCHI WA VUDEE NDIVA YA NG`ONG`A.HONGERENI VAGHOSI VETU VA CHASU KWA KUGHENJANYA, HII KUSAIDIANA NA KUSAIDIA MAENDELEO NI YA SIKU NYINGI TOKA MIAKA YA 1960 WAKATI WA KUCHIMBA BARABARA YA VUDEE AMBAYO BABA WA TAIFA MWL. J.K NYERERE ALIKUJA MARA MBILI MIAKA HIYO KUWAPA MOYO WANANCHI HAWA WA VUDEE KWA KAZI KUBWA WALIOKUWA WAKIIFANYA, KWA WALIOBAKIA MBARIKIWE SANA.SIKU HIZI WANANCHI WAMEENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA KWA KUPANDA MITI KWA WINGI,KAZI YENU SIO BURE MTAKUMBUKWA NA VIZAZI VINGI VIJAVYO 1.Wananchi wanaotoka Vudee KAZI bado ni kubwa kuboresha dispensary ya Vudee. Wananchi kwa sasa wanafuata huduma hii Chome wakati enzi za miaka ya 1960 hadi1990 ndugu zetu Wa Chome walikuwa Wakihudumiwa Vudee Dispensary.Kuna haja ya kujipanga upya .

  1. wazee wa KITALA 1970