Mimi ni Danford, napenda Biolojia ya molekuli, Bioteknolojia, Akiolojia, Historia ya Dunia. Ni mpenzi wa kujisomea vitabu mbalimbali na pia kufanya ufumbuzi katika nyanja mbalimbali za sayansi.