Naitwa Dominic Deusdedith Mhariri wa makala za Wikipedia Kiswahili kutoka Tanzania. Napenda kusoma, Kuandika na kuhariri makala zinazohusu elimu, teknolojia, watu, kilimo, siasa na mazingira.