Karibu sana kwenye ukurasa wangu. Mimi ni Ebenezer Mlay. Ni mwanafunzi wa Chuo Cha Usimamizi wa Fedha jijini Dar es Salaam. Mimi ni mhariri wa kujitolea katika kundi la wahariri wa Wikipedia nchini Tanzania. Najihusisha na masuala ya teknolojia.