Edgar Awitta
SALA ZA MT. MIKAELI, MALAIKA MKUU
http://www.2heartsnetwork.org/Michael.htm
Msimamizi wa majeshi, Polisi, wanahewa na wakuzi wa mboga za mimea
Kwa Jina la Baba 2. Baba yetu… 3. Nakuungamia mungu mwenyezi…. Nasadi kwa mungu……
Sala: Mikaeli Mtakatifu Malaika Mkuu, utulinde katika vita uwe kinga yetu katika maovu na maoteo ya shetani, Mungu amtishe tunaomba sana nawe Mkuu wa Majeshi ya Mbinguni kwa nguvu ya Mungu uwaangushe Motoni Shetani na pepo wabaya wengine wanaozunguka duniani ili kuzipoteza roho za watu. Amina Moyo Mtakatifu wa Yesu - Utuhurumie x3 Maria Malkia wa Malaika watakatifu- Utuombee
Sala ya Kuombea Majeshi na Polisi
Salamu Ee Mtakatifu Mikaeli, jina lako ambalo lina maanisha ‘nani kama Mungu’ na ambalo laashiria kuwa ndiwe pekee uliye baki mtiifu kati ya malaika waliomuaasi Mungu Baba.Wasaidie maofisa wa Polisi wa wakati wetu ambao wana juhudi kuu ya kung’oa uhalifu na maovu zilizo kithiri pande zote za nchi. Wasaidie wadumishe uadilifu na utiifu kwa Mungu na hata kwa Taifa wanazotumikia na wanadamu wenzao. Amen Ee Mungu Kupitia kwa hekima Kuu umeongoza ushirika baina ya wanadamu na Malaika. Tunaomba kwamba, wote wanaokutumikia Mbinguni watukinge na mabaya yote ya hapa Duniani. Amen
Kwa Kinga Dhidi ya Shetani na Hatari
Ee Mt. Mikaeli, Malaika Mkuu, utukinge miili yetu pamoja na Roho zetu kutokana na maovu ya adui shetani, kundi lake lote na yeyote atakaye tusogelea na nia ya kutaka kutudhuru. Utukinge, namiili yetu, viombo vya kusafiri, wakati tunaposafiri sehemu mbalimbali katika shughuli za kila siku.Ukinge miili yetu, nyumba (ye)zetu, mali yetu, na vyombo vyetu vyote hasa wakati wa kimbunga kikali, hatari za umeme za radi, upepo mkali, mvua kuu, na mafuriko ya maji. Amen
Sala kwa Mtakatifu Mikaeli, Malaika Mkuu.
Ee Mtukufu Mtakatifu Mikaeli na Mkuu wa Majeshi ya Mbinguni, mlinzi wa roho, mshindaji wa pepo wabaya Mtumishi katika Nyumba ya Mungu, Mfalme na msimamizi wetu mstaajabivu, mwenye nguvu za juu na akili pendevu, utuokoe na maovu yote, sisi tunaokutumainia na kwa ulinzi wako, tuweze kumtumikia Mungu kila siku kwa uaminifu zaidi. Amen
Rozari ya Mikaeli Mtakatifu
Kwenye Medali Sali:
K. Ee Mungu nielekezee msaada;
W. Ee Bwana nisaidie hima.
Atukuzwe Baba……………….
1. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na ya kundi Takatifu la Malaika Serafim, Bwana awashe mioyoni mwetu moto wa mapendo kamili. Amina
Baba yetu x1 Salamu Maria x3
2. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na ya kundi Takatifu la Malaika Kerubim, Bwana atuwezeshe kuacha njia mbaya na kuenenda katika njia ya ukamilifu wa ki Kristu. Amina
Baba yetu x1 Salamu Maria x3
3.Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na ya kundi Takatifu la Malaika wenye Enzi, Bwana atujalie roho ya unyofu na unyenyekevu wa kweli. Amina.
Baba yetu x1 Salamu Maria x3
4.Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na kundi Takatifu la Watawala, Bwana atujalie Neema ya kushindana na mahasa yetu na tamaa mbaya. Amina
Baba yetu x1 Salamu Maria x3
5. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na ya kundi Takatifu la Wenye nguvu, Bwana atukinge na vishawishi na mitego ya shetani. Amina.
Baba yetu x1 Salamu Maria x3
6. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na kundi Takatifu la Malaika wenye Mamlaka, Bwana atukinge na mwovu wala tusianguke kishawishini. Amina
Baba yetu x1 Salamu Maria x3
7. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na kundi Takatifu la Wakuu, Mungu atujalie roho ya utii wa kweli. Amina
Baba yetu x1 Salamu Maria x3
8. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na kundi Takatifu la Malaika Wakuu, Bwana atudumishe katika Imani na katika kazi zote njema, ili tujaliwe utukufu wa milele. Amina.
Baba yetu x1 Salamu Maria x3
9. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na kundi Takatifu la Malaika walinzi, Bwana atujalie ulinzi wao duniani hapa, na baadaye watuongoze kwenye furaha za mbinguni. Amina.
Baba yetu x1 Salamu Maria x3
Sali Baba yetu kwa heshima ya kila Malaika Mkuu:
10.Kwa heshima ya Malaika Mkuu Mt. Mikaeli: Baba yetu... 11.Kwa heshima ya Malaika Mkuu Mt. Gabrieli: Baba yetu... 12.Kwa heshima ya Malaika Mkuu Mt. Rafaeli: Baba yetu….. 13.Kwa heshima ya Malaika Mlinzi wangu: Baba yetu…..
Ee Mtukufu Mtakatifu Mikaeli na Mkuu wa Majeshi ya Mbinguni, mlinzi wa roho, mshindaji wa pepo wabaya Mtumishi katika Nyumba ya Mungu, Mfalme na msimamizi wetu mstajabivu, mwenye nguvu za juu na akili pendevu, utuokoe na maovu yote, sisi tunaokutumainia na kwa ulinzi wako, tuweze kuntumikia Mungu kila siku kwa uaminifu zaidi. Amen
K. Utuombee Ee Mtukufu, Mt Mikaeli Mkuu wa Kanisa la Yesu Kristu; W. Ili tustahili ahadi za Kristu.
Tuombe
Ee Mungu Mwenyezi na wa Milele, Kwa wema na huruma Yako ya ajaba, umetaka watu wote waokoke, ukamweka Malaika Mikaeli kuwa Mkuu wa Kanisa Lako. Utukinge na adui zetu, wasitusumbue saa ya kufa kwetu, bali tuongozwe naye kwenye utukufu wako Mkuu. Tunaomba kwa njia ya Kristu Bwana wetu. Amina
NOVENA KWA MT. MIKAELI
Ee Mtakatifu Mikaeli, Malaika Mkuu, Mshindi na mwaminifu kwa Mungu na watu wa Mungu, Ninakuja mbele zako na matumaini makubwa nikiomba msaada wako wa haraka. Kwa ajili ya upendo wa Mungu Baba ambaye amekujalia neema ya nguvu zisizo na kifani, na kwa upendo wa Mama wa Yesu, malkia wa Malaika wote, usiyakatae maombi yangu. Kwa kuwa wajua jinsi moyo wangu ulivyo na thamani machoni pa Mungu Baba, nakuomba unilinde ili hata chembechembe za dhambi na uchafu za yule mwovu zisije zikaharibu umbo nzuri wa moyo wangu. Uniepushe daima na majaribu na visawishi vya shetani na mapepo wabaya. Ee Mt. Mikaeli, utiifu wako wa dhati kwa Mungu na Mama Kanisa takatifu, na upendo wako kwa Mngu na Kwetu ni wakutamanisha na wapaswa kuigwa. Kwa kuwa ndiwe mjumbe mkuu wa Mungu unayetunza na kulinda watu wake, ninakuomba
(taja Ombi lako kwa Kimya kidogo)
Ee Makatifu Mikaeli, kwa kuwa ndiwe muombezi na mtetezi mkuu wa wakristu, Ninaamini kuwa kulingana na mapenzi ya Mungu, Ombi langu litajibiwa.
Ninawaombea pia wapendwa wangu wote, utukinge kutokana na Hatari zote za mwili na Roho. Tusaidie na mahitaji yetu ya kila siku, ili tuishi pia maisha matakatifu kupitia kwa maombezi yako ya ajabu, na mwisho tupate pumziko la furaha mbinguni, pamoja tumsifu na kumpenda Mungu wetu daima na milele Amina.
Kwa kutoa shukrani kwa Mungu kwa neema alizomjalia Mt. Mikaeli Sema: Baba Yetu 1, Salamu Maria 1, Atukuzwe Baba. 1
Litania kwa heshima ya Mt. Mikaeli
Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie. Kristo Utuhurumie, Kristo Utuhurumie Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie Kristo Utusikie, Kristo Utusikilize Baba wa mbinguni Mungu, utuhurumie Mwana mkombozi wa dunia Mungu, Utuhurumie. Roho mtakatifu Mungu Mmoja, Utuhurumie, Utatu Mtakatifu Mungu Mmoja, Utuhurumie Maria Mtakatifu, Malkia wa Malaika, Utuombee. Mtakatifu Mikaeli malaika Mkuu, Utuombee Msimamizi na mtetezi Mkuu wa imani na Dini takatifu, Utuombee Unaesimama upande wa kulia wa altari na ubani, Utuombee Balozi mkuu wa Paradiso, Utuombee Mkuu wa majeshi ya Mbinguni, Utombee Kiongozi wa Malaika wateule, utuombee Ameri jeshi mkuu wa majeshi ya Mungu, Utuombee. Mlinzi wa Neema takatifu, Utuombee. Mtetezi wa kwanza wa Ufalme wa Kristu, Utuombee Mwenye nguvu za kipekee za Mungu, Utuombee Jeshi mteule asiyeweza kuonekana kwa macho ya kibinadamu, Utuombee Malaika wa Amani, Utuombee Muongozo wa Kristu, Utuombee Mlinzi wa Imani Katoliki, Utuombee Mshindi wa watu wa Mungu, Tuombee Malaika Mlinzi wa Ekaresti Takatifu, Tuombee Mtetezi wa Kanisa, Utuombee. Mlinzi wa wadhifa wa Baba Mtakatifu, Utuombee Malaika wa amri za Kanisa katoliki, Utuombee. Mwombezi wa wakristu, Utuombee Mlinzi wa wote wanaomtumainia Mungu, Utuombee Mlinzi wa Mwili na Nyoyo zetu, Utuombee Mponyaji wa wagonjwa, Utuombee Mfariji wa wenye uchungu, Utuombee Mfariji wa Nyoyo zilizoko toharani, Utuombee. Mhifadhi wa nyoyo zenye usafi, Utuombee. Tisho dhidi ya mapepo wabaya, Utuombee Mshindi wa vita dhidi ya Shetani, Utuombee. Mlinzi na Msimamizi wa Kanisa takatifu ulimwenguni, Utuombee
Mwana Kondoo wa Mungu Uondowae dhambi za Dunia, Utuopoe Ee Bwana Mwana Kondoo wa Mungu Uondowae Dhambi za Dunia, Utusikilize Ee Bwana. Mwana Kondoo wa Mungu Uondowae dhambi za Dunia, Utuhurumie.
K. Utuombee Ee Mtukufu, Mt Mikaeli Mkuu wa Kanisa la Yesu Kristu;
W. Ili tustahili ahadi za Kristu.
Tuombe Menu
MwanzoBahatishaKaribuLog inMpangilioMichangoKuhusu WikipediaKanusho
FuatiliaHistoryContributionsEdit User groups Logs Page information Permanent link What links here
Edgar Awitta
Joined 24 Septemba 2009
Ukurasa wa mtumiaji Majadiliano
SALA ZA MT. MIKAELI, MALAIKA MKUU
http://www.2heartsnetwork.org/Michael.htm Msimamizi wa majeshi, Polisi, wanahewa na wakuzi wa mboga za mimea Kwa Jina la Baba 2. Baba yetu… 3. Nakuungamia mungu mwenyezi…. Nasadi kwa mungu…… Sala: Mikaeli Mtakatifu Malaika Mkuu, utulinde katika vita uwe kinga yetu katika maovu na maoteo ya shetani, Mungu amtishe tunaomba sana nawe Mkuu wa Majeshi ya Mbinguni kwa nguvu ya Mungu uwaangushe Motoni Shetani na pepo wabaya wengine wanaozunguka duniani ili kuzipoteza roho za watu. Amina Moyo Mtakatifu wa Yesu - Utuhurumie x3 Maria Malkia wa Malaika watakatifu- Utuombee
Sala ya Kuombea Majeshi na Polisi Salamu Ee Mtakatifu Mikaeli, jina lako ambalo lina maanisha ‘nani kama Mungu’ na ambalo laashiria kuwa ndiwe pekee uliye baki mtiifu kati ya malaika waliomuaasi Mungu Baba.Wasaidie maofisa wa Polisi wa wakati wetu ambao wana juhudi kuu ya kung’oa uhalifu na maovu zilizo kithiri pande zote za nchi. Wasaidie wadumishe uadilifu na utiifu kwa Mungu na hata kwa Taifa wanazotumikia na wanadamu wenzao. Amen Ee Mungu Kupitia kwa hekima Kuu umeongoza ushirika baina ya wanadamu na Malaika. Tunaomba kwamba, wote wanaokutumikia Mbinguni watukinge na mabaya yote ya hapa Duniani. Amen Kwa Kinga Dhidi ya Shetani na Hatari Ee Mt. Mikaeli, Malaika Mkuu, utukinge miili yetu pamoja na Roho zetu kutokana na maovu ya adui shetani, kundi lake lote na yeyote atakaye tusogelea na nia ya kutaka kutudhuru. Utukinge, namiili yetu, viombo vya kusafiri, wakati tunaposafiri sehemu mbalimbali katika shughuli za kila siku.Ukinge miili yetu, nyumba (ye)zetu, mali yetu, na vyombo vyetu vyote hasa wakati wa kimbunga kikali, hatari za umeme za radi, upepo mkali, mvua kuu, na mafuriko ya maji. Amen Sala kwa Mtakatifu Mikaeli, Malaika Mkuu. Ee Mtukufu Mtakatifu Mikaeli na Mkuu wa Majeshi ya Mbinguni, mlinzi wa roho, mshindaji wa pepo wabaya Mtumishi katika Nyumba ya Mungu, Mfalme na msimamizi wetu mstaajabivu, mwenye nguvu za juu na akili pendevu, utuokoe na maovu yote, sisi tunaokutumainia na kwa ulinzi wako, tuweze kumtumikia Mungu kila siku kwa uaminifu zaidi. Amen
Rozari ya Mikaeli Mtakatifu
Kwenye Medali Sali: K. Ee Mungu nielekezee msaada; W. Ee Bwana nisaidie hima. Atukuzwe Baba………………. 1. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na ya kundi Takatifu la Malaika Serafim, Bwana awashe mioyoni mwetu moto wa mapendo kamili. Amina Baba yetu x1 Salamu Maria x3 2. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na ya kundi Takatifu la Malaika Kerubim, Bwana atuwezeshe kuacha njia mbaya na kuenenda katika njia ya ukamilifu wa ki Kristu. Amina Baba yetu x1 Salamu Maria x3 3.Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na ya kundi Takatifu la Malaika wenye Enzi, Bwana atujalie roho ya unyofu na unyenyekevu wa kweli. Amina. Baba yetu x1 Salamu Maria x3 4.Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na kundi Takatifu la Watawala, Bwana atujalie Neema ya kushindana na mahasa yetu na tamaa mbaya. Amina Baba yetu x1 Salamu Maria x3 5. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na ya kundi Takatifu la Wenye nguvu, Bwana atukinge na vishawishi na mitego ya shetani. Amina. Baba yetu x1 Salamu Maria x3 6. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na kundi Takatifu la Malaika wenye Mamlaka, Bwana atukinge na mwovu wala tusianguke kishawishini. Amina Baba yetu x1 Salamu Maria x3 7. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na kundi Takatifu la Wakuu, Mungu atujalie roho ya utii wa kweli. Amina Baba yetu x1 Salamu Maria x3 8. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na kundi Takatifu la Malaika Wakuu, Bwana atudumishe katika Imani na katika kazi zote njema, ili tujaliwe utukufu wa milele. Amina. Baba yetu x1 Salamu Maria x3 9. Kwa maombezi ya Mt. Mikaeli na kundi Takatifu la Malaika walinzi, Bwana atujalie ulinzi wao duniani hapa, na baadaye watuongoze kwenye furaha za mbinguni. Amina. Baba yetu x1 Salamu Maria x3 Sali Baba yetu kwa heshima ya kila Malaika Mkuu: 10.Kwa heshima ya Malaika Mkuu Mt. Mikaeli: Baba yetu... 11.Kwa heshima ya Malaika Mkuu Mt. Gabrieli: Baba yetu... 12.Kwa heshima ya Malaika Mkuu Mt. Rafaeli: Baba yetu….. 13.Kwa heshima ya Malaika Mlinzi wangu: Baba yetu….. Ee Mtukufu Mtakatifu Mikaeli na Mkuu wa Majeshi ya Mbinguni, mlinzi wa roho, mshindaji wa pepo wabaya Mtumishi katika Nyumba ya Mungu, Mfalme na msimamizi wetu mstajabivu, mwenye nguvu za juu na akili pendevu, utuokoe na maovu yote, sisi tunaokutumainia na kwa ulinzi wako, tuweze kuntumikia Mungu kila siku kwa uaminifu zaidi. Amen K. Utuombee Ee Mtukufu, Mt Mikaeli Mkuu wa Kanisa la Yesu Kristu; W. Ili tustahili ahadi za Kristu. Tuombe Ee Mungu Mwenyezi na wa Milele, Kwa wema na huruma Yako ya ajaba, umetaka watu wote waokoke, ukamweka Malaika Mikaeli kuwa Mkuu wa Kanisa Lako. Utukinge na adui zetu, wasitusumbue saa ya kufa kwetu, bali tuongozwe naye kwenye utukufu wako Mkuu. Tunaomba kwa njia ya Kristu Bwana wetu. Amina
NOVENA KWA MT. MIKAELI Ee Mtakatifu Mikaeli, Malaika Mkuu, Mshindi na mwaminifu kwa Mungu na watu wa Mungu, Ninakuja mbele zako na matumaini makubwa nikiomba msaada wako wa haraka. Kwa ajili ya upendo wa Mungu Baba ambaye amekujalia neema ya nguvu zisizo na kifani, na kwa upendo wa Mama wa Yesu, malkia wa Malaika wote, usiyakatae maombi yangu. Kwa kuwa wajua jinsi moyo wangu ulivyo na thamani machoni pa Mungu Baba, nakuomba unilinde ili hata chembechembe za dhambi na uchafu za yule mwovu zisije zikaharibu umbo nzuri wa moyo wangu. Uniepushe daima na majaribu na visawishi vya shetani na mapepo wabaya. Ee Mt. Mikaeli, utiifu wako wa dhati kwa Mungu na Mama Kanisa takatifu, na upendo wako kwa Mngu na Kwetu ni wakutamanisha na wapaswa kuigwa. Kwa kuwa ndiwe mjumbe mkuu wa Mungu unayetunza na kulinda watu wake, ninakuomba (taja Ombi lako kwa Kimya kidogo) Ee Makatifu Mikaeli, kwa kuwa ndiwe muombezi na mtetezi mkuu wa wakristu, Ninaamini kuwa kulingana na mapenzi ya Mungu, Ombi langu litajibiwa. Ninawaombea pia wapendwa wangu wote, utukinge kutokana na Hatari zote za mwili na Roho. Tusaidie na mahitaji yetu ya kila siku, ili tuishi pia maisha matakatifu kupitia kwa maombezi yako ya ajabu, na mwisho tupate pumziko la furaha mbinguni, pamoja tumsifu na kumpenda Mungu wetu daima na milele Amina. Kwa kutoa shukrani kwa Mungu kwa neema alizomjalia Mt. Mikaeli Sema: Baba Yetu 1, Salamu Maria 1, Atukuzwe Baba. 1
Litania kwa heshima ya Mt. Mikaeli
Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie. Kristo Utuhurumie, Kristo Utuhurumie Bwana utuhurumie, Bwana utuhurumie Kristo Utusikie, Kristo Utusikilize Baba wa mbinguni Mungu, utuhurumie Mwana mkombozi wa dunia Mungu, Utuhurumie. Roho mtakatifu Mungu Mmoja, Utuhurumie, Utatu Mtakatifu Mungu Mmoja, Utuhurumie Maria Mtakatifu, Malkia wa Malaika, Utuombee. Mtakatifu Mikaeli malaika Mkuu, Utuombee Msimamizi na mtetezi Mkuu wa imani na Dini takatifu, Utuombee Unaesimama upande wa kulia wa altari na ubani, Utuombee Balozi mkuu wa Paradiso, Utuombee Mkuu wa majeshi ya Mbinguni, Utombee Kiongozi wa Malaika wateule, utuombee Ameri jeshi mkuu wa majeshi ya Mungu, Utuombee. Mlinzi wa Neema takatifu, Utuombee. Mtetezi wa kwanza wa Ufalme wa Kristu, Utuombee Mwenye nguvu za kipekee za Mungu, Utuombee Jeshi mteule asiyeweza kuonekana kwa macho ya kibinadamu, Utuombee Malaika wa Amani, Utuombee Muongozo wa Kristu, Utuombee Mlinzi wa Imani Katoliki, Utuombee Mshindi wa watu wa Mungu, Tuombee Malaika Mlinzi wa Ekaresti Takatifu, Tuombee Mtetezi wa Kanisa, Utuombee. Mlinzi wa wadhifa wa Baba Mtakatifu, Utuombee Malaika wa amri za Kanisa katoliki, Utuombee. Mwombezi wa wakristu, Utuombee Mlinzi wa wote wanaomtumainia Mungu, Utuombee Mlinzi wa Mwili na Nyoyo zetu, Utuombee Mponyaji wa wagonjwa, Utuombee Mfariji wa wenye uchungu, Utuombee Mfariji wa Nyoyo zilizoko toharani, Utuombee. Mhifadhi wa nyoyo zenye usafi, Utuombee. Tisho dhidi ya mapepo wabaya, Utuombee Mshindi wa vita dhidi ya Shetani, Utuombee. Mlinzi na Msimamizi wa Kanisa takatifu ulimwenguni, Utuombee Mwana Kondoo wa Mungu Uondowae dhambi za Dunia, Utuopoe Ee Bwana Mwana Kondoo wa Mungu Uondowae Dhambi za Dunia, Utusikilize Ee Bwana. Mwana Kondoo wa Mungu Uondowae dhambi za Dunia, Utuhurumie. K. Utuombee Ee Mtukufu, Mt Mikaeli Mkuu wa Kanisa la Yesu Kristu; W. Ili tustahili ahadi za Kristu.
Tuombe Ee Mungu Mwenyezi na wa Milele, Kwa wema na huruma Yako ya ajaba, umetaka watu wote waokoke, ukamweka Malaika Mikaeli kuwa Mkuu wa Kanisa Lako. Utukinge na adui zetu, wasitusumbue saa ya kufa kwetu, bali tuongozwe naye kwenye utukufu wako Mkuu. Tunaomba kwa njia ya Kristu Bwana wetu. Amina Waumini watakaosali baadhi ya sala hizi kwa dhati na imani kwa heshima ya Mt. Mikaeli katika kipindi chochote cha mwaka, kwa nia ya siku Tisa mfululizo anaweza kupokea neema ya miaka mitano kila baada ya siku, na majibu ya baraka ya namna za kipekee katika hali ya kawaida, mwishoni mwa Novena hili. (449). http://www.2heartsnetwork.org/Michael.htm Last edited on 1 Novemba 2010, at 12:44
Nakala inapatikana chini ya Creative Commons Attribution/Share-Alike License; masuala ya ziada yanaweza kukubalika. Tazama Masharti ya Utumiaji kwa maelezo zaidi. Wikipedia ni nembo iliosajiliwa na Wikimedia Foundation, Inc., asasi isiyokuwa ya kifaida. Sera ya faraghaTerms of UseDawati MwanzoBahatishaKaribuLog inMpangilioMichangoKuhusu WikipediaKanusho FuatiliaHistoryContributionsEdit User groups Logs Page information Permanent link What links here
Ee Mungu Mwenyezi na wa Milele, Kwa wema na huruma Yako ya ajaba, umetaka watu wote waokoke, ukamweka Malaika Mikaeli kuwa Mkuu wa Kanisa Lako. Utukinge na adui zetu, wasitusumbue saa ya kufa kwetu, bali tuongozwe naye kwenye utukufu wako Mkuu. Tunaomba kwa njia ya Kristu Bwana wetu. Amina
Waumini watakaosali baadhi ya sala hizi kwa dhati na imani kwa heshima ya Mt. Mikaeli katika kipindi chochote cha mwaka, kwa nia ya siku Tisa mfululizo anaweza kupokea neema ya miaka mitano kila baada ya siku, na majibu ya baraka ya namna za kipekee katika hali ya kawaida, mwishoni mwa Novena hili. (449). http://www.2heartsnetwork.org/Michael.htm