Elisoni Rweyemamu mzaliwa wa bukoba dc kwenye familia yao wamezaliwa watoto 7 wakike3 wavulana 4 anaishi na mke na watoto 2. Kuna watoto 2 wa kiume wako nje wa kwanza anaitwa rewis,ashirafu Elisoni Rweyemamu kazaliwa tarehe 18/8/1995 katika hospitali ya rufaa iliyoko mjini bukoba Gavument. baada ya kuzaliwa majini bukoba alihamia wilayani Karagwe pamoja na Mama Ake na amesomea shule ya msingi kaisho .amehitimu darasa la 7 mwaka 2010.tarehe 9/9/2010 .na baada ya hapo kurudi nyumbani kwao bukoba.na kufikia ujomban.

mwaka 2012 1/1/212 akarudi Karagwe .na kipindi hicho tiyari ilikuwa ishatengwa na kuwa wilaya mbili kati ya Karagwe na kyerwa. baada ya mwaka mmoja kupita 2013 aliludi bukoba. Na kuanza kuishi kibeta kwa dada yake.Aitwaye Alinda.

Mwaka 2018 tarehe 1/4 Aliweza kuoa .na kubatika kumpata mtoto wake wa kwanza aitwaye Everny Atulinda tarehe 4/11/2019 na baadaye kupata bint mwingne wa kike aitwaye Elleny kemilembe tarehe 6/3/2024.mke wake anaitwa jovitha jonas anatokea kyerwa kamuli