Eliud Rugakingira

Msaikolojia mwenye mawazo huru. Ni mwalimu wa Literature in English, mshauri na Mnasihi (Teacher Counselor) Alizaliwa nchini Tanzania miaka ya 1990(s) 

Elimu: Amesomea shule ya Msingi Kabashana na baadae akajiunga na Buyango Sekondari baadae akaendelea na Kabanga high school kumalizia elimu ya sekondari. Baada ya Sekondari alijiunga na Chuo kikuu cha Dodoma “UDOM” huko alisoma Bachela ya Elimu katika Ushauri Nasaha [Bachelor of Education in Guidance and Counseling]