Jina langu ni Emmanuel Robert Ngowi. Mimi ni mtanzania. Ni mwalimu wa kompyuta na hesabu. Kusoma, kuandika na kujifunza kutoka kwenye makala mbalimbali ni hobi yangu. Wikpedia ni tovuti nzuri ya kupata maarifa mengi katika nyanja zote.