desha biashara ya bidhaa ya Tanzania kupitia [[kamp uni]]ya

Wasifu wa biasharaEdit hariri

Kundi la Misanga, awali biashara ndogo iliyoanzishwa mwaka 1980, sasa ni muungano wa makampuni mengi iliyo na oparesheni nchini Tanzania, uganda, kenya na rwanda. Biashara za Misanga ni pamoja na mawasiliano,media,madini,ukandarasi,usindikaji wa chakula, utengenezaji saruji na kusafirisha mizigo.