MAELEZO MAFUPI KUSUHU:(Mtumiaji:Farajja)

Kwa jina naitwa Faraja Anderson,jinsia - mme,miaka - 22 na mwanafunzi wa diploma mwaka

wa pili katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Dar es salaam.Nimeamua kujiunga

kwenye shindano hili la Wikipedia za Kiwahili ili niweze kuongeza makala mengi ya lugha

yetu hii ya nyumbani kwa watu wengi zaidi iwezekanavyo na kupata uzoefu zaidi kwenye

swala zima la Intaneti.Asanteni sana GOOGLE na WIKIPEDIA kwa kutupa nafasi hii ili nasi

tuweze kukuza lugha yetu duniani pote.

Ni matumaini yangu tutafanya vizuri mpaka pale challenge hii itakapo fika tamati.

Karibuni wote wapenzi wa kiswahili tufurahi pamoja kwenye makala ya lugha yetu.

--Faraja Anderson Jr. (majadiliano) 10:39, 24 Novemba 2009 (UTC)