Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.

Jina langu ni Newton, na mimi ni mkaazi wa taifa la Kenya. Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu nikisoma kozi ya Sayansi ya Tarakilishi.