Gutapaka Faustine amezaliwa st.Francis hospital katika mji wa ifakara uliopo kusini mashariki mwa mkoa wa Morogoro mnamo 10 october . Amesoma elimu ya msingi katika shule ya msingi Lipangalala, elimu ya upili katika shule ya kiyongwile na elimu ya upili ya ngazi ya juu katika shule ya Bagamoyo, lakini pia amehitimu shahada ya ualimu katika tarakilishi na jografia huko chuo kikuu cha Tumaini(Jokuco) Kagera Tanzania mwaka 2016.