Mimi naitwa Hans Faustine nimezaliwa mwaka 2003 katika hospitali ya Muhimbili .Nimesoma shule ya msingi maktaba.Nimemaliza darasa la saba mwaka 2016.Na sasa ninasoma Alfagems secondary school.