lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.

Isaac Mwongela Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Nairobi.Nimefaidika sana na Wikipedia katika kupata habari juu ya masomo yangu na katrika kufanya utafiti.Ningependa kuchangia katika kupanua hifadhi ya wikipedia hasa katika lugha ya kiswahili.