Habari,ni furaha yangu kuchangia katika Wikipedia ya Kiswahili.


Vizazi vijavyo ni makundi ya watu ambao bado hawajazaliwa. Dhana ya Vizazi vijavyo hutofautisha vizazi vya sasa na vilivyopita, na huzungumziwa kwa nia ya kuibua mada kuhusu maendeleo na usawa wa vizazi.[1] Dhana hii ya vizazi vijavyo imejadiliwa kwa kina sana na wanafilosofia, na inadhaniwa kuwa ya muhimu sana, licha ya kupuuzwa na baadhi ya makundi ya watu wasioiamini kwa kukosa ushahidi unaoonesha umuhimu wa dhana hii.[2]

Marejeo hariri