Magulilwa ni kata inayopatikana ndani ya wilaya ya Iringa vijijini mkoani Iringa. Kata ya magulilwa inaundwa na vijiji sita(6) ambavyo ni Magulilwa,Ng'enza,Ndiwili na Negabihi,vingine ni Msuluti na Mlanda. Kata hii ina jumla ya shule za sekondari mbili (2) Muhwana na Magulilwa Area. Diwani wa kata hii kwa mujibu wa uchaguzi wa 2010 ni Ernest Kasike