Mtumiaji:Jamessmiller1985/Sian Heder
Sian Heder (/ ˈʃɑːn ˈeɪdər /; alizaliwa mwezi juni 23, 1977) ni mwandishi wa Marekani na mtengenezaji wa filamu. Anafahamika kwa uandishi na uelekezaji wa filamu ya CODA (2021), iliyomwezesha kushinda Academy Award for Best Adapted Screenplay na BAFTA Award for Best Adapted Screenplay [1]
Heder alizaliwa mjini Cambridge, Massachusetts. Wazazi wake ni wanasanaa Mags Harries naye Lajos Héder . Mamaye ni Mwales na babaye ni Mhungaria. Ameolewa naye David Newsom na ana watoto wawili.
Marejeleo
hariri- ↑ Galuppo, Mia (Machi 27, 2022). "'CODA's' Sian Heder Thanks Deaf, CODA Collaborators for Being "Teachers" in Adapted Screenplay Win". The Hollywood Reporter. Iliwekwa mnamo Machi 29, 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Tovuti zingine
hariri- Sian Heder kwenye IMDb
[[Jamii:Watu walio hai]] [[Jamii:Waliozaliwa 1977]]