Cambridge, Massachusetts

Cambridge ni mji wa Marekani katika jimbo la Massachusetts ambayo ni sehemu ya rundiko la jiji la Boston. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 100,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 12 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Cambridge
Tazama pia Cambridge na Cambridge, Ontario


Cambridge
Cambridge is located in Marekani
Cambridge
Cambridge

Mahali pa mji wa Cambridge katika Marekani

Majiranukta: 42°22′25″N 71°6′38″W / 42.37361°N 71.11056°W / 42.37361; -71.11056
Nchi Marekani
Jimbo Massachusetts
Wilaya Middlesex
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 101,388
Tovuti:  www.cambridgema.gov
Mahali pa Cambridge katika Middlesex County na Massachusetts

Mji huu uliundwa mwaka 1631 na wakoloni Waingereza kwa jina la "Newe Towne" (mji mpya) kando la Boston. Mwaka 1636 chuo chake cha kwanza kilianzishwa na kutokana na chuo hiki jina la mji likabadilishwa kuwa "Cambridge" kwa heshima la Chuo Kikuu cha Cambridge katika Uingereza.

Leo hii Cambdridge wa Massachusetts inajulikana hasa kutokana na vyuo viwili mashuhuri ambavyo ni Chuo Kikuu cha Harvard na Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts (Massachusetts Istitute of Technology MIT).

Viungo vya nje

hariri
  • Chuo Kikuu cha Harvard
  • Official City Page
  • "A multimedia walking tour of Cambridge provided by the Cambridge Office of Tourism". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-09-29. Iliwekwa mnamo 2009-06-21.
  • A Brief History of Cambridge Archived 29 Juni 2006 at the Wayback Machine.
  • Cambridge Office for Tourism
  • Cambridge, Massachusetts katika Open Directory Project
  •   Cambridge (Massachusetts) travel guide kutoka Wikisafiri
Ramani