John martin mgoya
Imejiunga 11 Novemba 2018
naitwa john martin mgoya nimezaliwa mara katika wilaya ya butiama lakini kwa sasa naishi katikati ya tanzania namaanisha dodoma nafikiri unaujua vizuri uo mkoa lakini kwa sasa ni jiji. dodama inaendela ki miundombinu na kila kitu. malengo ni kuwa mwanajeshi wa jwtz jeshi la wanainchi wa tanzania kiivyo yaniiiiiiiii-