Mimi ninaitwa Josefu Chipiti, Muhariri kutoka Tabora. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha tabora, ninapokea mawazo mbalimbali Kwa ajili ya kufanya biashara mbalimbali.