Juma Nature
Imejiunga 18 Agosti 2007
Kwa Juma Nature:
- Karibu katika wikipedia ya Kiswahili! Tumefurahi kupata mwandishi mwingine, tena mmoja anayefahamu mambo ya ndani ya muziki wa Tanzania. Ujisikie huru kuanzisha makala mpya au kuziongezea na kuboresha. Kabla hujabadilisha "category" lakini, naomba ujifahamishe na taratibu yake. Jamii zinazotajwa kwenye makala ya "category" fulani ni zile za juu zaidi. Kwa mfano, "muziki wa Kizazi Kipya" iwe chini ya "muziki wa Tanzania". Hata hivyo, hakuna makala iliyoandikwa chini ya "category" hiyo. Nadhani utaelewa haraka. Kila le kheri, --Oliver Stegen 09:28, 18 Agosti 2007 (UTC)
Karibu sana Juma Nature. Tupo pamoja. ----ndesanjo macha