Justin

JINA Faili:PICHA MAELEZO Amezaliwa 1970 ABC Amekufa 22.33.8888 MAHALI Nchi TAKATUKALAND Majina mengine ABC DEF Kazi yake POA

Matumizi "B" (ipo yote nzima)

Vijana na ulemavu

hariri

Ulimwenguni kote kuna vijana wenye ulemavu kati ya milioni 180 hadi 220.Asilimia themanini ya vijana wenye ulemavu wanaishi kwenye nchi zinazoendelea,kwahiyo wanakua na ufikiaji mdogo wa elimu, huduma za afya, kazi na haki kwa ujumla.[1]Ulemavu unaeza kuwa wa kimwili au wa kiakili.Vijana wengi wanaishi maisha ya kawaida na imara,hata hivyo wale wenye ulemavu wanaeza pitia vikwazo zaidi ukilinganisha na ambao hawana ulemavu kutokana na vikwazo vinavyowezekana,hayo yanatengenezwa na mapungufu ya kimwili na kijamii.

Ulemavu na elimu

hariri

Kanuni za kisheria nchini Marekani

Kabla ya miaka ya 1970, hapakuwa na sheria shirikishi ambazo zililinda raia au haki za kikatiba za wamarekani wenye ulemavu.Harakati za haki za raia zilianzisha "harakati za haki za walemavu" ambazo zililenga kwenye huduma za jamii na tiba kwa wenye ulemavu,na ndani ya mnamo mwaka 1975 sheria ya elimu kwa watu wenye ulemavu iliundwa.Sheria hii ilianzisha haki kwa watoto wenye ulemavu kuhudhuria kwenye shule za umma,kupokea huduma zilizoundwa kufikia mahitaji yao bila malipo na kupokea maelekezo kwenye madarasa ya kawaida kandokando na watoto wasio na ulemavu.[2]

Sheria ya watu wenye ulemavu pia imeidhinisha ruzuku za shirikisho ili kufidia gharama za huduma za elimu maalum kwa vijana wenye umri kati ya miaka mitatu hadi ishirini na moja[3].Nyongeza ya sheria imelenga kuboresha kupatikana kwa elimu na mitaala(programu ya ujumuishaji),kuendeleza tathmini zifaazo,taratibu na uwekaji mbadala na kuunda huduma za mpito kwa vijana waliojiondoa kwenye mfumo wa elimu.

Marejeleo

hariri
  1. https://web.archive.org/web/20140127013856/http://undesadspd.org/youth/resourcesandpublications/youthwithdisabilities.aspx
  2. https://en.wikipedia.org/wiki/S2CID_(identifier)
  3. https://en.wikipedia.org/wiki/S2CID_(identifier)