Mto RUIPA ni mto unaopatikana katika kijiji cha kisegese kata ya Namwawala wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro.