Rajihson Kamage (alizaliwa 10 Octoba 1987) anayejulikana pia kama Kamage RF ni mhubiri Mtanzania, mtume, mjasiriamali na mwanamuziki.