Kichwa 1 Kichwa 2
msafa 1, nguzo 1 msafa 1, nguzo 2
msafa 2, nguzo 1 msafa 2, nguzo 2
Aina ya mazao Mifano Sababu kuu za uharibifu baada ya mavuno
(zikipangwa kwa umuhimu)
Mboga mizizi karoti
vitunguu
vitunguu saumu
kiazi mviringo
kiazi kitamu
Kuminywa au kukatwa,
Kuchipuka
Kunyauka
Kuoza
Kutunzwa baridi mno
Mboga majani saladi
mchadi
spinachi
kabeji
mchicha
Kunyauka
Upotevu wa rangi bichi kuwa manjano
Kuminywa au kukatwa
Kuoza
Mboga maua brokoli
koliflawa
Kuminywa au kukatwa
Upotevu wa rangi
Kuvunjwa kwa sehemu
Kuoza
Mboga wa matunda mabichi matango
boga
mabiringani
pilipili hoho
mabamia
maharagwe mabichi
Kuwa bivu mno wakati wa mavuno
Kunyauka
Kuminywa au kukatwa
Kutunzwa baridi mno
Kuoza
Mboga wa matunda mabivu
na matunda
nyanya
matikiti
malimau
ndizi
maembe
matofaa
zabibu
Kuminywa au kukatwa
Kuwa bivu mno wakati wa mavuno
Kunyauka
Kutunzwa baridi mno
kuoza

Chanzo: https://www.postharvest.net.au/imagesDB/wysiwyg/UCDavisPHtrainingmanual.pdf, uk. 3