Saladi (kutoka Kiingereza: salad) ni mchanganyiko wa mboga au matunda unaoliwa bila kupikwa il hutiwa chumvi kidogo (ndiyo asili ya jina: "salt").

Sahani ya saladi.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saladi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.