Lazaro P. Lazaro
Lazaro Paschal Lazaro (18 March 1990) alikuwa Mwanafunzi katika shule ya secondary Nyasaka Islamic iliyoko Mjini Mwanza hadi mwaka 2010, baada ya hapo aliweza kujiunga moja kwa moja na chuo cha utumishi wa umma na kupata stashahada ya Habari na Mwasiliano(IT) Mwaka 2014 na baadae kujiunga na chuo cha usafirishaji Dar es salaam(NIT) na kusoma shahada ya Juu ya Habari na Mawasiliano pia ni Mtoto wa kwanza katika Familia ya Mr. Paschal kumalija, na pia ni katika Famili ya watoto wawili Yaani Pamoja na Dada yake Angelina Kumalija. Anafahamika zaidi kwa jina lake la Lazaro P Lazaro. Huyu alikuwa mtoto wa Paschal kumalija, Mama yake Lazaro P. Lazaro anaishi Mwanza. Lazaro Mara nyingi aliitwa Lazaro P. Lazaro,Lazz P, Lazaro Pascal na pia mwenyewe akajiita Lazaro wa pili, Lazaro P. Lazaro, pia alishawahi kua Mfanyakazi katika shirika la kuzalisha umeme Tanzania (Tanesco) katika wilaya wa Tegeta.
Utoto na Ujana
haririBaba yake Lazaro alikuwa Mtanzania alitoka Mkoa wa Mwanza nchini Tanzania. Mama yeke, Getrud Kumalija, wazazi walifunga Ndoa, Hivyo Lazaro aliishi Mwanza hadi alipomaliza Shule ya sekondari na dada yake ndoa moja ya mama yake na baba yake
Masomo na kazi
haririLazaro alikuwa Mwanafunzi katika shule ya secondary Nyasaka Islamic iliyoko Mjini Mwanza hadi mwaka 2010, baada ya hapo aliweza kujiunga moja kwa moja na chuo cha utumishi wa umma na kupata stashahada ya Habari na Mwasiliano(IT) Mwaka 2014 na baadae kujiunga na chuo cha usafirishaji Dar es salaam(NIT) na kusoma shahada ya Juu ya Habari na Mawasiliano.