Mtumiaji:LeonaRIC LesaBIRD/Kutoroka kwenye utoto

Kutoroka kwenye utoto: Mahitaji na haki za watoto ni kitabu cha mwandishi mwenye asili ya Marekani John Holt.

Mara nyingi katika kazi ya John Holt kama mwandishi aliandika hasa kuhusiana na shule. kutoroka kwenye utoto bado inashikilia ujumbe wa vitabu vyake vingine, lakini vimejikita kwenye fikira na imani za Holt kuhusiana na haki za watoto katika jamii kiujumla kuliko shule pekeake. Kitabu kinatetea haki za vijana dhidi ya utu uzima na athari, kama ilivyoshuhudiwa na Holt katika maelezo ya wazi " Ninapendekeza, kuwa haki, vipaumbele,majukumu ya raia mtu mzima yaweze kupatikana kwa kijana yeyote wa umri wowote ambaye anahitaji kufanya matumizi navyo.[1]"

Marejeo.

hariri
  1. Holt, J. (1974) Escape from Childhood Boston: E. P. Dutton.